Pages

Subscribe:

Saturday, October 13, 2012

Je wafahamu aina mpya ya virusi vya kompyuta SHALOON VIRUS?

Mtambo Wa Mafuta Wa Saudi Ambao inasmekana Ulivamiwa Na Virus Hao Hatari.
hii ni aina mpya ya virusi vya kompyuta vilivyo na uwezo wa kuvamia operating system yeyote aina ya WINDOWS vimetangazwa hivi karibuni na kuitikisa nchi ya marekani hadi kuifanya wizara ya ulinzi ya marekani kutangaza kwa makampuni ya mitandao kuchukua tahadhari kubwa ili kujilinda na virusi hivi hatari.
pia vimeweza kuwekwa katika orodha ya virusi hatari vya kompyuta kutokana na
madhara yake kwenye komyuta kutokana na uwezo wake wa kusambaa haraka kwenye kompyuta na tabia zake hata zilizopo kwenye network moja.


VIRUSI HIVI VIlipovamia kompyuta nyingi za USA zilikuwa vilibadirisha mafaili ya komyuta na kuifanya kuwa bendera ya marekani.
kwahio ndugu ukiona hali kama hii ktk kompyuta yako fahamu kabisa yawezekana umevamiwa na hivi virusi hatari vya SHALOON

SAUD ARABIA ni moja wapo ya nchi kadhaa zilizoweza kuvamiwa na kuharibu utendaji wa kazi hasa katika makampuni ya mafuta, VIRUSI hivi viliweza kuathiri zaidi ya kompyuta 30,000 na kufanya kazi katka makampuni hayo zisimame kwa muda.
 

1 comments:

Anonymous said...

rb88 rb88 ミスティーノ ミスティーノ fun88 soikeotot fun88 soikeotot 카지노 가입 쿠폰 카지노 가입 쿠폰 1xbet korean 1xbet korean 카지노사이트 카지노사이트 カジノ シークレット カジノ シークレット 980

Post a Comment