1.
Alt + Tab......Kama umefungua application zaidi ya moja, vifungo hivyo
vitakusaidia kukuhamisha kutokea program moja mpaka nyingine.
2. Alt + Shift + Tab......Kama umefungua application zaidi ya moja,
vifungo hivyo vitakusaidia kukurudisha katika program uliyoifungua nyuma
yake(switch backwards).
3. Ctrl
+ Alt + Del......vifungo hivi vitaleta task manager ambayo itakusaidi
kuifunga programa ambayo kwa nyia ya kawaida inagoma kujifunga(not
responding) ,pia unaweza kureboot,switch off n.k, pia itakujulisha
active process n.k
4. Ctrl + Shift + Esc.........inafanya kazi sawa na 3.
5.Ctrl + Esc.......itakuletea start menu.
6.Alt + Esc..inakusaidia kuhama kutoka application moja mpaka nyingine kwenye taskbar.
7. F1............itafungua page ya help kwenye application uliyoifungua.
8. F2.......Kama unataka kurename icon uliyoichagua.
9. F3....itafungua kibox ambacho kitakusaidi kusearch/kutafuta kitu kutoka kwenye desktop au page yoyote.
10. F4......itakusaidia kuchagua drives(hard disk, optical disk n.k) kama itakuwa umefungua my computer window n.k
11. F5.....hii itatusaidia kurefresh .
12. CTRL+C: kopi/ copy
13. CTRL+X: kata/cut
14. CTRL+V: pesti/paste
15. CTRL+Z: rudi nyume katika kitendo ulichokifanya /Undo
16. CTRL+B: fanya maandishi mazito/Bold
17. CTRL+U: pigia mstari maandishi/Underline
18. CTRL+I: laza kwa mbele maandishi/Italic
19. ALT+F4: funga window uliyoifungua
20. CTRL+A: chagua vitu vyote vilivyopo kwenye windo uliyoifungua/Select all the items in the current window
Delete: futa kitu ulichokichagua lakini kitajihifazi kwenye recycle bin
21. Shift+Delete: kifute kitu ulichokichagua moja kwa moja hakitoweza kujihifadhi kwenye recycle bin
22. Alt+Enter : itaonesha tabia/ properties ya kitu ulichokichagua
23. CTRL+RIGHT ARROW: kama umeweka pointer katikati ya maneno unaweza
kukisogeza upande wa kulia (Move the insertion point to the beginning of
the next word)
24. CTRL+LEFT ARROW: kama umeweka pointer katikati
ya maneno unaweza kukisogeza upande wa kushoto (Move the insertion
point to the beginning of the previous word)
25. CTRL+DOWN ARROW:
kama umeweka pointer katikati ya maneno unaweza kukisogeza upande wa
chini (Move the insertion point to the beginning of the next paragraph)
26. CTRL+UP ARROW: kama umeweka pointer katikati ya maneno unaweza
kukisogeza upande wa juu (Move the insertion point to the beginning of
the previous paragraph)
27. CTRL+Shift with any of the arrow keys (Highlight a block of text)
0 comments:
Post a Comment